1895
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | ►
◄◄ | ◄ | 1891 | 1892 | 1893 | 1894 | 1895 | 1896 | 1897 | 1898 | 1899 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1895 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1895 MDCCCXCV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5655 – 5656 |
Kalenda ya Ethiopia | 1887 – 1888 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1344 ԹՎ ՌՅԽԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1313 – 1314 |
Kalenda ya Kiajemi | 1273 – 1274 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1950 – 1951 |
- Shaka Samvat | 1817 – 1818 |
- Kali Yuga | 4996 – 4997 |
Kalenda ya Kichina | 4591 – 4592 甲午 – 乙未 |
- 15 Januari - Artturi Ilmari Virtanen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1945)
- 21 Februari - Henrik Dam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
- 1 Mei - Leo Sowerby (mtungaji muziki Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1946)
- 12 Mei - William Giauque (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1949)
- 8 Julai - Igor Tamm (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 24 Septemba - Andre Cournand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 30 Oktoba - Gerhard Domagk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939)
- 30 Oktoba - Dickinson Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 14 Desemba - Paul Eluard (mshairi Mfaransa)
[hariri] Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: