1934
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1930 | 1931 | 1932 | 1933 | 1934 | 1935 | 1936 | 1937 | 1938 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1934 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1934 MCMXXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5694 – 5695 |
Kalenda ya Ethiopia | 1926 – 1927 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1383 ԹՎ ՌՅՁԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1353 – 1354 |
Kalenda ya Kiajemi | 1312 – 1313 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1989 – 1990 |
- Shaka Samvat | 1856 – 1857 |
- Kali Yuga | 5035 – 5036 |
Kalenda ya Kichina | 4630 – 4631 癸酉 – 甲戌 |
- 9 Machi - Yuri Gagarin (rubani Mrusi na mtu wa kwanza aliyefika katika anga la nje)
- 31 Machi - Carlo Rubbia (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1984)
- 21 Mei - Bengt Samuelsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 13 Julai - Wole Soyinka (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1986)
- 16 Julai - George Hilton, mwigizaji filamu Mwingereza kutoka Uruguay
- 3 Agosti - Jonas Savimbi
- 25 Agosti - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka nchi ya Brazil
- 28 Septemba - Brigitte Bardot, mwigizaji filamu kutoka Ufaransa
- 10 Desemba - Howard Temin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
bila tarehe
- George Lilanga, msanii Mmakonde kutoka Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 29 Januari - Fritz Haber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918)
- 23 Februari - Edward Elgar, mtunzi mashuhuri wa muziki kutoka Uingereza
- 17 Oktoba - Santiago Ramón y Cajal (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1906)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: