1911
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1907 | 1908 | 1909 | 1910 | 1911 | 1912 | 1913 | 1914 | 1915 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1911 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1911 MCMXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5671 – 5672 |
Kalenda ya Ethiopia | 1903 – 1904 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1360 ԹՎ ՌՅԿ |
Kalenda ya Kiislamu | 1329 – 1330 |
Kalenda ya Kiajemi | 1289 – 1290 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1966 – 1967 |
- Shaka Samvat | 1833 – 1834 |
- Kali Yuga | 5012 – 5013 |
Kalenda ya Kichina | 4607 – 4608 庚戌 – 辛亥 |
- 3 Januari - John Sturges, mwongozaji filamu wa Marekani
- 26 Januari - Polykarp Kusch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955)
- 6 Februari - Ronald Reagan, Rais wa Marekani (1981-89)
- 26 Machi - Bernard Katz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 6 Aprili - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 8 Aprili - Melvin Calvin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961)
- 13 Juni - Luis Alvarez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1968)
- 25 Juni - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 30 Julai - Czeslaw Milosz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1980)
- 9 Agosti - William Fowler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
- 19 Septemba - William Golding (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983)
- 2 Novemba - Odysseas Elytis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1979)
- 11 Novemba - Antonio Casas, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 11 Desemba - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)
- 23 Desemba - Niels Jerne (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984)
[hariri] Waliofariki
- 1 Machi - Jacobus Henricus van 't Hoff (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1901)
- 29 Oktoba - Joseph Pulitzer (mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: