1939
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1935 | 1936 | 1937 | 1938 | 1939 | 1940 | 1941 | 1942 | 1943 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1939 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 2 Machi - Uchaguzi wa Papa Pius XII
- 1 Septemba - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza.
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1939 MCMXXXIX |
Kalenda ya Kiyahudi | 5699 – 5700 |
Kalenda ya Ethiopia | 1931 – 1932 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1388 ԹՎ ՌՅՁԸ |
Kalenda ya Kiislamu | 1358 – 1359 |
Kalenda ya Kiajemi | 1317 – 1318 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1994 – 1995 |
- Shaka Samvat | 1861 – 1862 |
- Kali Yuga | 5040 – 5041 |
Kalenda ya Kichina | 4635 – 4636 戊寅 – 己卯 |
- 28 Februari - Daniel Tsui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 29 Machi - Terence Hill, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 4 Aprili - Hugh Masekela, mwanamuziki wa Jazz kutoka Afrika Kusini
- 13 Aprili - Seamus Heaney (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1995)
- 7 Mei - Sidney Altman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
- 11 Julai - Beth Mugo, mwanasiasa wa kike wa Kenya
- 26 Julai - Wopko Jensma, mshairi wa Afrika Kusini
- 1 Agosti - Robert James Waller, mwandishi wa Marekani
- 9 Agosti - Romano Prodi, mwanasiasa kutoka Italia
- 21 Agosti - Festus Mogae, Rais wa Botswana
- 5 Septemba - George Lazenby, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 6 Septemba - Susumu Tonegawa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1987)
- 30 Septemba - Jean-Marie Lehn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 7 Oktoba - Harold Kroto (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996)
- 18 Desemba - Harold Varmus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989)
bila tarehe
- Gabriel Mmole, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 10 Februari - Papa Pius XI
- 28 Januari - William Butler Yeats (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: