1954
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | 1954 | 1955 | 1956 | 1957 | 1958 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1954 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 7 Julai - Chama cha TANU kimeanzishwa huko Tanganyika.
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1954 MCMLIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5714 – 5715 |
Kalenda ya Ethiopia | 1946 – 1947 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1403 ԹՎ ՌՆԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1374 – 1375 |
Kalenda ya Kiajemi | 1332 – 1333 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2009 – 2010 |
- Shaka Samvat | 1876 – 1877 |
- Kali Yuga | 5055 – 5056 |
Kalenda ya Kichina | 4650 – 4651 癸巳 – 甲午 |
- 1 Januari - Sigfrid Selemani Ng'itu, mwanasiasa wa Tanzania
- 15 Januari - Saning'o Kaika Ole Telele, mwanasiasa wa Tanzania
- 25 Februari - Renate Dorrestein, mwandishi wa kike kutoka Uholanzi
- 8 Mei - John Michael Talbot, mwimbaji Mkristo kutoka Marekani
- 2 Julai - Omar Shabani Kwaangw', mwanasiasa wa Tanzania
- 13 Julai - Sezen Aksu, mwanamuziki kutoka Uturuki
- 17 Julai - Angela Merkel, chansela wa Ujerumani (tangu 2005)
- 14 Agosti - Agapiti Ndorobo, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 24 Oktoba - Wahome Mutahi, mwandishi kutoka Kenya
- 6 Novemba - Stephen Watson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 10 Desemba - Rita Louise Mlaki, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 7 Machi - Otto Diels (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)
- 28 Aprili - Leon Jouhaux (kiongozi Mfaransa wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1951)
- 13 Julai - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 14 Julai - Jacinto Benavente (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1922)
- 3 Novemba - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
- 28 Novemba - Enrico Fermi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1938
Wikimedia Commons ina media kuhusu: