Chicago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jiji la Chicago
North Avenue katika Chicago
North Avenue katika Chicago

Bendera
Jiji la Chicago is located in Marekani
Jiji la Chicago
Jiji la Chicago
Mahali pa mji wa Chicago katika Marekani
Anwani ya kijiografia: 41°50′26″N 87°40′46″W / 41.84056°N 87.67944°W / 41.84056; -87.67944
Nchi Marekani
Jimbo Illinois
Wilaya Cook
Idadi ya wakazi
 - Mji 8,711,000
Tovuti: www.cityofchicago.org
Nyumba kubwa za jiji la Chicago kando la ziwa Michigan

Chicago ni mji mkubwa wa jimbo la Illinois na pia mji mkubwa wa tatu nchini Marekani. Iko kando ya Ziwa Michigan. Idadi ya wakazi ni 2,900,000 (2000) na pamoja na rundiko la mji ni watu milioni tisa.

Ni mji muhimu wa biashara na viwanda. Kwa kuwa meli za Atlantiki zinafika Chicago kupitia njia ya maji ya Saint Lawrence na pia ni chanzo cha reli muhimu huitwa mara nyingi "geti ya magharibi" ya Marekani. Kabla ya kujengwa kwa reli mfereji muhimu uliunganisha mji na mto Mississippi.

Chanzo cha Chicago kilikuwa kituo cha biashara kwenye mdomo wa mto Chicago. Mji uliundwa 12 Agosti 1833 ukawa manisipaa 1837. Wakazi waliongezeka haraka. Walikuwa 30,000 mwaka 1850, 100,000 mwaka 1860 na hadi 1880 waliongezeka kuwa 500,000. Milioni ilifikwa 1890.

Kwa miaka mingi jengo la Sears Tower lilikuwa nyumba kubwa ya dunia kati ya 1974 hadi 1998 ikiwa na kimo cha mita 442.

[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki
Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine