1902
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1898 | 1899 | 1900 | 1901 | 1902 | 1903 | 1904 | 1905 | 1906 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1902 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1902 MCMII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5662 – 5663 |
Kalenda ya Ethiopia | 1894 – 1895 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1351 ԹՎ ՌՅԾԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1320 – 1321 |
Kalenda ya Kiajemi | 1280 – 1281 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1957 – 1958 |
- Shaka Samvat | 1824 – 1825 |
- Kali Yuga | 5003 – 5004 |
Kalenda ya Kichina | 4598 – 4599 辛丑 – 壬寅 |
- 9 Januari - Josemaría Escrivá
- 10 Februari - Walter Brattain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956)
- 27 Februari - John Steinbeck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1962)
- 23 Aprili - Halldor Laxness (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1955)
- 3 Mei - Alfred Kastler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1966)
- 8 Mei - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 16 Juni - Barbara McClintock (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1983)
- 10 Julai - Kurt Alder (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1950)
- 8 Agosti - Paul Dirac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 10 Agosti - Arne Tiselius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948)
- 24 Septemba - Ruhollah Khomeini, kiongozi wa dini na wa serikali nchini Uajemi (1979-1989)
- 17 Novemba - Eugene Wigner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
bila tarehe
- James Jolobe, mchungaji na mshairi wa Afrika Kusini aliyeandika hasa kwa Kixhosa
[hariri] Waliofariki
- 5 Aprili - Hans Buchner (daktari Mjerumani)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: