1952
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1948 | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | 1954 | 1955 | 1956 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1952 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
Kalenda ya Gregori | 1952 MCMLII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5712 – 5713 |
Kalenda ya Ethiopia | 1944 – 1945 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1401 ԹՎ ՌՆԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1372 – 1373 |
Kalenda ya Kiajemi | 1330 – 1331 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2007 – 2008 |
- Shaka Samvat | 1874 – 1875 |
- Kali Yuga | 5053 – 5054 |
Kalenda ya Kichina | 4648 – 4649 辛卯 – 壬辰 |
[hariri] Waliozaliwa
- 1 Februari - Roger Tsien (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008)
- 15 Machi - Willy Puchner, msanii kutoka Austria
- 11 Mei - Mary Nagu, mwanasiasa wa Tanzania
- 14 Mei - David Byrne, mwanamuziki wa Marekani
- 6 Juni - Ibrahim Lipumba, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 7 Juni - Orhan Pamuk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2006)
- 7 Juni - Liam Neeson, mwigizaji wa filamu kutoka Ireland
- 8 Agosti - Jostein Gaarder, mwandishi Mnorwei
- 9 Desemba - Ludovic Minde, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 27 Desemba - Salome Joseph Mbatia, mwanasiasa wa kike kutoka Tanzania
bila tarehe
- Yayi Boni, Rais wa Benin
- Oliver Mtukudzi, mwanamuziki wa Zimbabwe
- Charity Ngilu, mwanasiasa wa Kenya
[hariri] Waliofariki
- 6 Februari - Mfalme George VI wa Uingereza
- 19 Februari - Knut Hamsun (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1920)
- 22 Februari - Kaarlo Juho Stahlberg, Rais wa Ufini
- 4 Machi - Charles Scott Sherrington (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
- 6 Mei - Maria Montessori, daktari na mwalimu kutoka Italia
- 18 Agosti - Mtakatifu Alberto Hurtado (padre Mkatoliki kutoka Chile)
- 29 Septemba - George Santayana, mwanafalsafa na mwandishi kutoka Hispania na Marekani
- 30 Septemba - Viscount Waldorf Astor
- 28 Oktoba - Billy Hughes (Waziri Mkuu wa Australia)
- 9 Novemba - Chaim Weizmann, Rais wa Israel
- 18 Novemba - Paul Eluard (mshairi Mfaransa)
- 26 Novemba - Sven Hedin, mpelelezi wa Asia ya Kati kutoka Sweden
Wikimedia Commons ina media kuhusu: