2006
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 2002 | 2003 | 2004 | 2005 | 2006 | 2007 | 2008 | 2009 | 2010 | ► | ►►
Jan. | Feb. | Mac. | Apr. | Mei | Jun. | Jul. | Ago. | Sep. | Okt. | Nov. | Des.
Makala hii inahusu mwaka 2006 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2006 MMVI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5766 – 5767 |
Kalenda ya Ethiopia | 1998 – 1999 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1455 ԹՎ ՌՆԾԵ |
Kalenda ya Kiislamu | 1427 – 1428 |
Kalenda ya Kiajemi | 1384 – 1385 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2061 – 2062 |
- Shaka Samvat | 1928 – 1929 |
- Kali Yuga | 5107 – 5108 |
Kalenda ya Kichina | 4702 – 4703 乙酉 – 丙戌 |
[hariri] Waliofariki
- 28 Februari - Owen Chamberlain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 7 Machi - Gordon Parks, msanii wa Marekani
- 7 Machi - Ali Farka Toure (mwanamuziki kutoka nchi ya Mali)
- 20 Machi - Ali Muhsin al-Barwani, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 29 Machi - Moshi William (mwanamuziki Mtanzania)
- 14 Mei - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 19 Agosti - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 28 Agosti - Melvin Schwartz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988)
- 30 Agosti - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)
- 31 Oktoba - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
- 1 Novemba - William Styron (mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968)
- 26 Desemba - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-77)
- 30 Desemba - Saddam Hussein aliyekuwa rais wa Iraki hadi 2003 akanyongwa baada ya kuhukumiwa adhabu ya mauti kwa jinai dhidi ya binadamu.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: