1967
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1963 | 1964 | 1965 | 1966 | 1967 | 1968 | 1969 | 1970 | 1971 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1967 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 30 Mei - Emeka Ojukwu ametangazwa kuwa rais wa Biafra.
- Uganda: Rais Milton Obote anawaondoa watawala wa kijadi madarakani pamoja na Kabaka ya Buganda
- 3 Desemba - Cape Town: daktari Christiaan Barnard afaulu kuhamisha moyo kutoka kwa mtu kwenda mtu mwingine mara ya kwanza katika dunia.
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1967 MCMLXVII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5727 – 5728 |
Kalenda ya Ethiopia | 1959 – 1960 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1416 ԹՎ ՌՆԺԶ |
Kalenda ya Kiislamu | 1387 – 1388 |
Kalenda ya Kiajemi | 1345 – 1346 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2022 – 2023 |
- Shaka Samvat | 1889 – 1890 |
- Kali Yuga | 5068 – 5069 |
Kalenda ya Kichina | 4663 – 4664 丙午 – 丁未 |
- 2 Januari - Tia Carrere, mwigizaji filamu kutoka Hawaii
- 7 Mei - Fuya Godwin Kimbita, mwanasiasa wa Tanzania
- 18 Julai - Vin Diesel - mwigizaji na mwongoza wa filamu kutoka nchi ya Marekani
- 5 Agosti - Kazunori Yamauchi, muundaji wa michezo ya video kutoka Japani
- 13 Agosti - Amélie Nothomb, mwandishi kutoka Ubelgiji
- 21 Agosti - Carrie Anne Moss, mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka nchini Kanada
- 19 Septemba - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi
[hariri] Waliofariki
- 5 Februari - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile (alijiua)
- 27 Machi - Jaroslav Heyrovsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959)
- 5 Aprili - Hermann Muller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1946)
- 31 Mei - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 22 Julai – Carl Sandburg (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940)
- 1 Agosti - Richard Kuhn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938)
- 18 Septemba - John Douglas Cockcroft (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)
- 7 Oktoba - Norman Angell (mwandishi wa habari Mwingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1933)
- 9 Oktoba - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 9 Oktoba - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
Wikimedia Commons ina media kuhusu: