1980
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1976 | 1977 | 1978 | 1979 | 1980 | 1981 | 1982 | 1983 | 1984 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1980 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1980 MCMLXXX |
Kalenda ya Kiyahudi | 5740 – 5741 |
Kalenda ya Ethiopia | 1972 – 1973 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1429 ԹՎ ՌՆԻԹ |
Kalenda ya Kiislamu | 1400 – 1401 |
Kalenda ya Kiajemi | 1358 – 1359 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2035 – 2036 |
- Shaka Samvat | 1902 – 1903 |
- Kali Yuga | 5081 – 5082 |
Kalenda ya Kichina | 4676 – 4677 己未 – 庚申 |
- 25 Januari - Xavi, mchezaji mpira kutoka Hispania
- 12 Februari - Innocent Cornel Sahani, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 14 Septemba - Ayo, mwimbaji kutoka Ujerumani
- 24 Oktoba - Lucy Komba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 25 Novemba - Aaron Mokoena, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
- 25 Novemba - Aleen Bailey, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika
- 14 Desemba - Didier Zokora, mchezaji mpira kutoka Cote d'Ivoire
- 30 Desemba - Eliza Dushku, mwigizaji filamu kutoka Marekani
bila tarehe
- Amani Temba, mwanamuziki kutoka Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 2 Februari - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 29 Aprili - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
- 8 Septemba - Willard Libby (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960)
- 27 Oktoba - John Van Vleck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 7 Novemba - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Desemba - John Lennon (mwanamuziki Mwingereza) aliuawa.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: