1975
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1971 | 1972 | 1973 | 1974 | 1975 | 1976 | 1977 | 1978 | 1979 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1975 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 25 Juni - Nchi ya Msumbiji inapata uhuru kutoka Ureno.
- 5 Julai - Visiwa vya Cabo Verde vinapata uhuru kutoka Ureno.
- 6 Julai - Visiwa vya Komori vinapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 12 Julai - Visiwa vya Sao Tome na Principe vinapata uhuru kutoka Ureno.
- 11 Novemba - Nchi ya Angola inapata uhuru kutoka Ureno.
- 25 Novemba - Nchi ya Surinam inapata uhuru wake kutoka Uholanzi.
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1975 MCMLXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5735 – 5736 |
Kalenda ya Ethiopia | 1967 – 1968 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1424 ԹՎ ՌՆԻԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1395 – 1396 |
Kalenda ya Kiajemi | 1353 – 1354 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2030 – 2031 |
- Shaka Samvat | 1897 – 1898 |
- Kali Yuga | 5076 – 5077 |
Kalenda ya Kichina | 4671 – 4672 甲寅 – 乙卯 |
- 19 Januari - Adrian Siaga, mwigizaji filamu kutoka Tanzania
- 25 Januari - Mia Kirshner, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 4 Februari - Natalie Imbruglia, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
- 15 Machi - Eva Longoria, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Machi - Sienna Guillory, mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Uingereza
- 8 Mei - Enrique Iglesias, mwimbaji kutoka Hispania
- 25 Mei - Lauryn Hill, mwanamuziki kutoka Marekani
- 4 Juni - Angelina Jolie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Juni - Sibusiso Zuma, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
- 22 Agosti - Rodrigo Santoro, mwigizaji filamu kutoka Brazil
- 1 Septemba - Maritza Rodriguez, mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Colombia
- 16 Oktoba - Christophe Maé, mwimbaji kutoka Ufaransa
- 29 Desemba - Joseph Haule, mwanamuziki wa rap kutoka Tanzania, anayejulikana kama Professor Jay
[hariri] Waliofariki
- 8 Februari - Robert Robinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
- 14 Februari - Julian Huxley (mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO)
- 14 Februari - P. G. Wodehouse
- 24 Februari - Nikolai Bulganin
- 25 Februari - Elijah Muhammad
- 13 Machi - Ivo Andric (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961)
- 26 Juni - Josemaría Escrivá
- 27 Agosti - Haile Selassie, Mafalme Mkuu wa Ethiopia
- 10 Septemba - George Thomson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 20 Septemba - Saint-John Perse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960)
- 30 Oktoba - Gustav Hertz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925)
- 5 Novemba - Edward Tatum (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
- 7 Desemba - Thornton Wilder (mwandishi Mmarekani)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: