1974
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1970 | 1971 | 1972 | 1973 | 1974 | 1975 | 1976 | 1977 | 1978 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1974 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 10 Septemba - Nchi ya Guinea Bisau inapata uhuru rasmi kutoka Ureno.
- 12 Septemba - Kaisari Haile Selassie wa Ethiopia anapinduliwa na wanajeshi wa DERG
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1974 MCMLXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5734 – 5735 |
Kalenda ya Ethiopia | 1966 – 1967 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1423 ԹՎ ՌՆԻԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1394 – 1395 |
Kalenda ya Kiajemi | 1352 – 1353 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2029 – 2030 |
- Shaka Samvat | 1896 – 1897 |
- Kali Yuga | 5075 – 5076 |
Kalenda ya Kichina | 4670 – 4671 癸丑 – 甲寅 |
- 16 Februari - Johnny Tri Nguyen, mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Vietnam Kusini
- 12 Machi - Scarlet Ortiz, mwigizaji filamu kutoka Venezuela
- 22 Julai - Franka Potente, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 15 Agosti - Natasha Henstridge, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 30 Desemba - Khalilou Fadiga, mchezaji mpira kutoka Senegal
bila tarehe
- Erik Thulin, mwandishi wa Uswidi
[hariri] Waliofariki
- 9 Machi - Earl Sutherland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971)
- 24 Mei - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 9 Juni - Miguel Asturias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967)
- 11 Julai - Par Lagerkvist (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1951)
- 13 Julai - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
- 23 Julai - James Chadwick (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: