31 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
- 1695: Kodi ya madirisha inaanzishwa Uingereza; wenye nyumba wengi wanafunga madirisha kwa matofari ili kuepukana na kodi hiyo.
- 1999 - Eneo la mfereji wa Panama inarudishwa kwa serikali ya Panama kutoka kwa utawala wa Marekani .
[hariri] Waliozaliwa
- 1378 - Papa Callixtus III
- 1491 - Jacques Cartier, mpelelezi wa Amerika ya Kaskazini kutoka Ufaransa
- 1572 - Go-Yozei, mfalme mkuu wa Japani (1586-1611)
- 1869 - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1937 - Avram Hershko, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
[hariri] Waliofariki
- 335 - Papa Silvester I
- 1864 - George Mifflin Dallas, Kaimu Rais wa Marekani (1845-1849)