1959
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1955 | 1956 | 1957 | 1958 | 1959 | 1960 | 1961 | 1962 | 1963 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1959 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1959 MCMLIX |
Kalenda ya Kiyahudi | 5719 – 5720 |
Kalenda ya Ethiopia | 1951 – 1952 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1408 ԹՎ ՌՆԸ |
Kalenda ya Kiislamu | 1379 – 1380 |
Kalenda ya Kiajemi | 1337 – 1338 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2014 – 2015 |
- Shaka Samvat | 1881 – 1882 |
- Kali Yuga | 5060 – 5061 |
Kalenda ya Kichina | 4655 – 4656 戊戌 – 己亥 |
- 16 Januari - Sade, mwanamuziki Mwingereza aliyezaliwa Nigeria
- 19 Februari - Damas Pascal Nakei, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Aprili - Sean Bean, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 25 Mei - Abdul Jabir Marombwa, mbunge wa Tanzania
- 27 Juni - Khadja Nin, mwimbaji kutoka Burundi
- 3 Agosti - Koichi Tanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 29 Agosti - Gideon Byamugisha, kasisi kutoka Uganda
- 26 Oktoba - Evo Morales (rais wa Bolivia)
[hariri] Waliofariki
- 15 Februari - Owen Richardson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928)
- 9 Aprili - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 5 Mei - Carlos Saavedra Lamas (mwanasiasa wa Argentina na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1936)
- 9 Juni - Adolf Windaus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1928)
- 17 Julai - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 15 Novemba - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
Wikimedia Commons ina media kuhusu: