21 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1471 - Albrecht Dürer, mchoraji kutoka Ujerumani
- 1834 - Charles-Albert Gobat (mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902)
- 1843 - Louis Renault (mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1907)
- 1851 - Leon Bourgeois (mwanasiasa Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1920)
- 1860 - Willem Einthoven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924)
- 1934 - Bengt Samuelsson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
[hariri] Waliofariki
- 1935 - Jane Addams (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 1964 - James Franck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1925)