1961
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | ►
◄◄ | ◄ | 1957 | 1958 | 1959 | 1960 | 1961 | 1962 | 1963 | 1964 | 1965 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1961 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 12 Aprili - Yuri Gagarin, rubani Mrusi, anafika katika anga la nje na kuzunguka dunia lote.
- 27 Aprili - Nchi ya Sierra Leone inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 9 Desemba - Nchi ya Tanzania inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1961 MCMLXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5721 – 5722 |
Kalenda ya Ethiopia | 1953 – 1954 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1410 ԹՎ ՌՆԺ |
Kalenda ya Kiislamu | 1381 – 1382 |
Kalenda ya Kiajemi | 1339 – 1340 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2016 – 2017 |
- Shaka Samvat | 1883 – 1884 |
- Kali Yuga | 5062 – 5063 |
Kalenda ya Kichina | 4657 – 4658 庚子 – 辛丑 |
- 3 Aprili - Eddie Murphy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Aprili - Mwinchoum Abdulrahman Msomi, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Aprili - Carlo Rota, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 25 Mei - Abdulkarim Esmail Hassan Shah, mbunge wa Tanzania
- 30 Julai - Laurence Fishburne, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 3 Agosti - Barnabas Kinyor, mwanariadha kutoka Kenya
- 4 Agosti - Barack Obama, Rais wa Marekani (tangu 2009)
- 16 Agosti - Elpidia Carrillo, mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 26 Oktoba - Uhuru Kenyatta, mwanasiasa kutoka Kenya
[hariri] Waliofariki
- 4 Januari - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 9 Januari - Emily Balch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946)
- 17 Januari - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 6 Aprili - Jules Bordet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919)
- 6 Juni - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
- 2 Julai - Ernest Hemingway (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1954)
- 20 Agosti - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 6 Desemba - Frantz Fanon, mwandishi wa Kifaransa kutoka Martinique
- 25 Desemba - Otto Loewi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1936)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: