1990
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1986 | 1987 | 1988 | 1989 | 1990 | 1991 | 1992 | 1993 | 1994 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1990 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- 2 Februari - Rais F.W. de Klerk wa Afrika Kusini atangaza ya kuwa ANC si marufuku tena.
- 11 Februari - Nelson Mandela aachishwa gerezani baada ya miaka 27 ya jela.
- 23 Agosti - Nchi ya Armenia inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti.
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1990 MCMXC |
Kalenda ya Kiyahudi | 5750 – 5751 |
Kalenda ya Ethiopia | 1982 – 1983 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1439 ԹՎ ՌՆԼԹ |
Kalenda ya Kiislamu | 1411 – 1412 |
Kalenda ya Kiajemi | 1368 – 1369 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2045 – 2046 |
- Shaka Samvat | 1912 – 1913 |
- Kali Yuga | 5091 – 5092 |
Kalenda ya Kichina | 4686 – 4687 己巳 – 庚午 |
- 3 Februari - Sean Kingston, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 14 Machi - Zakaria Kibona, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 12 Agosti - Mario Balotelli, mchezaji mpira kutoka Italia
[hariri] Waliofariki
- 6 Januari - Pavel Cherenkov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 22 Juni - Ilya Frank (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 31 Julai - Fernando Sancho, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 30 Septemba - Patrick White (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973)
- 22 Oktoba - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 17 Novemba - Robert Hofstadter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: