1900
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1896 | 1897 | 1898 | 1899 | 1900 | 1901 | 1902 | 1903 | 1904 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1900 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1900 MCM |
Kalenda ya Kiyahudi | 5660 – 5661 |
Kalenda ya Ethiopia | 1892 – 1893 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1349 ԹՎ ՌՅԽԹ |
Kalenda ya Kiislamu | 1318 – 1319 |
Kalenda ya Kiajemi | 1278 – 1279 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1955 – 1956 |
- Shaka Samvat | 1822 – 1823 |
- Kali Yuga | 5001 – 5002 |
Kalenda ya Kichina | 4596 – 4597 己亥 – 庚子 |
- 13 Machi - Giorgos Seferis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963)
- 25 Aprili - Wolfgang Pauli (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945)
- 17 Mei - Ayatollah Ruhollah Khomeini aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979
- 5 Juni - Dennis Gabor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971)
- 29 Juni - Antoine de Saint-Exupery mwandishi Mfaransa
- 29 Julai - Eyvind Johnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1974)
- 25 Agosti - Hans Krebs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)
- 30 Oktoba - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 3 Desemba - Richard Kuhn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938)
[hariri] Waliofariki
- 6 Machi - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: