1970
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | ►
◄◄ | ◄ | 1966 | 1967 | 1968 | 1969 | 1970 | 1971 | 1972 | 1973 | 1974 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1970 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1970 MCMLXX |
Kalenda ya Kiyahudi | 5730 – 5731 |
Kalenda ya Ethiopia | 1962 – 1963 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1419 ԹՎ ՌՆԺԹ |
Kalenda ya Kiislamu | 1390 – 1391 |
Kalenda ya Kiajemi | 1348 – 1349 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2025 – 2026 |
- Shaka Samvat | 1892 – 1893 |
- Kali Yuga | 5071 – 5072 |
Kalenda ya Kichina | 4666 – 4667 己酉 – 庚戌 |
- 3 Januari - Boay Akonay, mwanariadha wa Tanzania
- 7 Machi - Rachel Weisz, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 27 Machi - Mariah Carey, mwanamuziki wa Marekani
- 8 Oktoba - Matt Damon, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 8 Novemba - Diana King, mwimbaji wa kike kutoka Jamaika
- 10 Desemba - Mihai Cătălin Frăţilă, askofu Mkatoliki nchini Romania
- 14 Desemba - Anna Maria Jopek, mwimbaji kutoka Poland
- 23 Desemba - Angela Fuste, mwigizaji filamu kutoka Venezuela
bila tarehe
- Carola Kinasha, mwanamuziki wa Tanzania
- Tedd Josiah, mwanamuziki kutoka Kenya
[hariri] Waliofariki
- 5 Januari - Max Born (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 2 Februari - Bertrand Russell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1950)
- 16 Februari - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 17 Februari - Shmuel Yosef Agnon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
- 12 Mei - Nelly Sachs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
- 1 Agosti - Otto Warburg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1931)
- 1 Septemba - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)
- 18 Septemba - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 24 Oktoba – Richard Hofstadter (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1956)
- 21 Novemba - Chandrasekhara Raman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930)
bila tarehe
- Nicholaas Louw, mwandishi wa Afrika Kusini
Wikimedia Commons ina media kuhusu: