1951
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | ►
◄◄ | ◄ | 1947 | 1948 | 1949 | 1950 | 1951 | 1952 | 1953 | 1954 | 1955 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1951 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
Kalenda ya Gregori | 1951 MCMLI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5711 – 5712 |
Kalenda ya Ethiopia | 1943 – 1944 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1400 ԹՎ ՌՆ |
Kalenda ya Kiislamu | 1371 – 1372 |
Kalenda ya Kiajemi | 1329 – 1330 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2006 – 2007 |
- Shaka Samvat | 1873 – 1874 |
- Kali Yuga | 5052 – 5053 |
Kalenda ya Kichina | 4647 – 4648 庚寅 – 辛卯 |
- 24 Desemba - Nchi ya Libya inapata uhuru kutoka Italia.
[hariri] Waliozaliwa
- 3 Februari - Blaise Compaoré, Rais wa Burkina Faso
- 27 Aprili - Mario Das Neves, mwanasiasa wa Argentina
- 30 Mei - Mathias Chikawe, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Sheria (2005-2010)
- 10 Juni - Isaac Amani Massawe, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 16 Agosti - Umaru Musa Yar'Adua, Rais wa Nigeria (2007-2010)
- 1 Desemba - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Desemba - Philip Sang'ka Marmo, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 10 Januari - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 19 Februari - Andre Gide (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947)
- 23 Aprili - Charles Dawes (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 29 Aprili - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 6 Oktoba - Otto Meyerhof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: