1932
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1928 | 1929 | 1930 | 1931 | 1932 | 1933 | 1934 | 1935 | 1936 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1932 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1932 MCMXXXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5692 – 5693 |
Kalenda ya Ethiopia | 1924 – 1925 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1381 ԹՎ ՌՅՁԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1351 – 1352 |
Kalenda ya Kiajemi | 1310 – 1311 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1987 – 1988 |
- Shaka Samvat | 1854 – 1855 |
- Kali Yuga | 5033 – 5034 |
Kalenda ya Kichina | 4628 – 4629 辛未 – 壬申 |
- 6 Februari - Simeon Nyachae, mwanasiasa kutoka Kenya
- 4 Machi - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 31 Machi - Walter Gilbert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 26 Aprili - Michael Smith (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993)
- 11 Juni - Athol Fugard, mwandishi wa Afrika Kusini
- 18 Juni - Dudley Herschbach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 17 Agosti - Vidiadhar Naipaul (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001)
- 17 Agosti - Abebe Bikila (mwanariadha Mhabeshi)
- 24 Oktoba - Pierre de Gennes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1991)
- 2 Novemba - Melvin Schwartz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988)
- 5 Desemba - Sheldon Glashow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979)
[hariri] Waliofariki
- 16 Februari - Ferdinand Buisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1927)
- 7 Machi - Aristide Briand (Waziri Mkuu wa Ufaransa na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1926)
- 4 Aprili - Wilhelm Ostwald (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909)
- 15 Julai - Cornelis Langenhoven, mwandishi wa Afrika Kusini
- 16 Septemba - Sir Ronald Ross (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902)
- 6 Novemba - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: