1942
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | ►
◄◄ | ◄ | 1938 | 1939 | 1940 | 1941 | 1942 | 1943 | 1944 | 1945 | 1946 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1942 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1942 MCMXLII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5702 – 5703 |
Kalenda ya Ethiopia | 1934 – 1935 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1391 ԹՎ ՌՅՂԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1361 – 1362 |
Kalenda ya Kiajemi | 1320 – 1321 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1997 – 1998 |
- Shaka Samvat | 1864 – 1865 |
- Kali Yuga | 5043 – 5044 |
Kalenda ya Kichina | 4638 – 4639 辛巳 – 壬午 |
- 23 Januari - Salim Ahmed Salim, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 27 Februari - Robert Grubbs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 6 Machi - Flora Purim, mwimbaji kutoka Brazil
- 12 Aprili - Jacob Zuma, mwanasiasa wa Afrika Kusini
- 23 Aprili - Étienne Balibar, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 13 Juni - Josaphat Louis Lebulu, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 18 Juni - Thabo Mbeki, Rais wa Afrika Kusini
- 18 Juni - Paul McCartney, mwanamuziki Mwingereza
- 26 Juni - Gilberto Gil, mwanamuziki na Waziri wa Utamaduni wa Brazil
- 13 Julai - Harrison Ford, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 28 Agosti - Jose Eduardo dos Santos, Rais wa Angola
- 16 Septemba - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 29 Septemba - Jean-Luc Ponty, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 27 Novemba - Jimi Hendrix, mpiga gitaa kutoka Marekani
- 17 Desemba - Muhammadu Buhari, Rais wa Nigeria (1983-1985)
bila tarehe
- Ebenezer Obey, mwanamuziki wa Nigeria
[hariri] Waliofariki
- 10 Machi - William Henry Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 17 Aprili - Jean Perrin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926)
- 3 Agosti - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 9 au 10 Agosti - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani, anayeheshimiwa kama mtakatifu kwa jina lake la kimonaki Teresa Benedikta wa Msalaba.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: