1905
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1901 | 1902 | 1903 | 1904 | 1905 | 1906 | 1907 | 1908 | 1909 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1905 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 1905 MCMV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5665 – 5666 |
Kalenda ya Ethiopia | 1897 – 1898 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1354 ԹՎ ՌՅԾԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1323 – 1324 |
Kalenda ya Kiajemi | 1283 – 1284 |
Kalenda ya Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1960 – 1961 |
- Shaka Samvat | 1827 – 1828 |
- Kali Yuga | 5006 – 5007 |
Kalenda ya Kichina | 4601 – 4602 甲辰 – 乙巳 |
- 1 Februari - Emilio Segre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 7 Februari - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 14 Machi - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 18 Aprili - George Hitchings (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988)
- 24 Aprili – Robert Penn Warren (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1958)
- 16 Mei - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 24 Mei - Mikhail Sholokhov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1965)
- 21 Juni - Jean-Paul Sartre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1964)
- 25 Julai - Elias Canetti (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1981)
- 3 Septemba - Carl David Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 24 Septemba - Severo Ochoa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959)
- 30 Septemba - Nevill Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 23 Oktoba - Felix Bloch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
bila tarehe
- Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar
[hariri] Waliofariki
- 14 Juni - Tippu Tip (mfanyabiashara Mtanzania mashuhuri)
- 14 Septemba - Pierre Brazza
Wikimedia Commons ina media kuhusu: