18 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1517 - Ogimachi, mfalme mkuu wa Japani (1557-1586)
- 1845 - Alphonse Laveran (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907)
- 1918 - Jerome Karle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
- 1932 - Dudley Herschbach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 1942 - Thabo Mbeki, Rais wa Afrika Kusini
[hariri] Waliofariki
- 1971 - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1982 - John Cheever, mwandishi kutoka Marekani
- 2010 - Jose Saramago (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1998)